Kwanini Mbunge wa jimbo la Ukonga, nchini Tanzania Bakari Shingo, alipita katika chujio la wagombea wa nafasi ya uwakilishi katika jukwaa la kimataifa, licha ya changamoto ya kutozungumza Kiingereza fasaha. @Frank Mavura anatuelezea #bbcswahili #foryou #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚
bbcnewsswahili
@bbcnewsswahiliKaribu BBC Swahili kupata habari zinazowasilishwa kwa njia rahisi.
🔗 https://www.bbc.com/swahili ↗🔎 Détails (profil + refresh) ouvrir
Maelfu ya ndege wa aina ya kwezi wamekusanyika na kutengeneza maumbo ya mawimbi angani yanayovutia huko Uingereza. @ahmedbahajj anaelezea #bbcswahili #fyp #uingereza #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿
Unafahamu soko kubwa zaidi la mbwa nchini Nigeria? Mwandishi wa BBC Ayuba Iliya alifanikiwa kufika katika soko la siri la mbwa Nigeria. Imewasilishwa na @frankmavura Tazama! - - - #bbcswahili #foryou #mbwa #nigeria #dogsoftiktok
Mshukiwa wa biashara haramu ya dawa za kulevya nchini Tanzania amekamatwa nchini Zambia kufuatia operesheni zinazoongozwa na idara ya ujasusi. Operesheni hiyo ilinasa kiasi kikubwa zaidi cha mihadarati kuwahi kukamatwa Zambia.
Sous-titres IA en 1 clic
Vidéo importée → version prête à poster.
Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa Muamar Gaddafi, kiongozi wa zamani wa Libya, aliyeuawa Libya ni nani? @elizabethkazibure na taarifa zaidi #bbcswahili #fyppppppppppppppppppppppp #kenyatiktok #libya #tanzaniatiktok
Baada ya Shirika la Afya Duniani, WHO, kuainisha nyama iliyosindikwa kama yenye uwezo wa kusababisha saratani, swali moja limekuwa likiulizwa sana: Kitimoto ni nyama nyekundu ama nyeupe? Je, nyama ya nguruwe ni nyama nyekundu au nyeupe? @elizabethkazibure na taarifa hii #bbcswahili #fyppppppppppppppppppppppp #tanzaniatiktok #kenyatiktok #afya
Benki kuu nchini Kenya CBK imetoa ilani dhidi ya kutengenezwa kwa mashada ya maua kwa kutumia noti za nchi hiyo. Mtindo wa kutengeneza noti za pesa kama mapambo umeenea nchini Kenya hasa katika sherehe na hutumika kama zawadi. Kulingana na benki hiyo kuu, noti nyingi hukunjwa, husokotwa, kufungwa na pini na kushikanishwa na gundi jambo linazoziharibu. Lakini CBK imesema haipingi kutoa pesa taslimu kama zawadi. #Kenya #BBCSwahili #DiraTV #KenyaTikTok #BenkiKuu #Pesa #fyi #fy #fypp @Ahnad Haji @Hamida Mjahid
Kwanini shimo hili lenye ukubwa wa takriban mita za mraba 30,000 limetokea katika eneo la Central Aceh, Indonesia? #bbcswahili#mabadilikotabianchi#fyp #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿
Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Kenya, noti hizo huwa zinakunjwa, zinaviringishwa na kubandikwa kwa kutumia gundi au vifaa vya kufungia jambo linaloharibu ubora wa noti na kuchangia matatizo katika mashine za kutoa na kuhesabu pesa. Je nini maoni yako kuhusu hatua hii ya Beni kuu ya Kenya? - - - #bbcswahili #kenya #valentinesday #uchumi #sikuyawapendano
Bondia Jarrell Miller aliyeshinda pambano huko New York alizua gumzo baada ya nywele zake bandia kuanguka ulingoni. Tazama @frankmavura na simulizi zaidi. #bbcswahili #fyp #tiktokkenya #tanzaniatiktok #ndondi
"Si vyema kuendelea kuzungumzia yaliyotokea Oktoba 29, 2025 kufanya hivyo kunatonesha vidonda" - Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais Tanzania 🎥: Mahakama ya Tanzania #bbcswahili #tanzania #octoba29 #uchaguzi2025 #sheria #utawalabora#fyp #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿
Texte → vidéo TikTok IA
Tu écris le prompt, on génère la vidéo.
Nyota wa muziki kutoka Afrika Kusini Tyla ameshinda Grammy yake ya pili, akichukua tuzo ya Wimbo Bora wa Muziki wa Kiafrika kwa “Push 2 Start”. - Tyla aliwapiku wanamuziki kama Ayra Starr, Burna Boy, Davido na Eddy Kenzo. - - - #tyla #grammys #bbcswahili #foryou #music
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amewasihi viongozi nchini kuwa waangalifu na kauli zao, akisisitiza kuangalia maneno yao watakayoyasema hasa pale kiongozi anapokosa jambo la msingi la kusema, ni vyema akanyamaza badala ya kutoa kauli zinazoweza kuumiza na kuchochea hisia za wananchi. Ameyazungumza hayo leo Jumatatu, Februari 2, 2026, katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini Tanzania yanayofanyika jijini Dodoma. #bbcswahili #foryou #viongozi #tanzaniatiktok #kenyantiktok
- Je compte uniquement les vidéos ≥ 60 secondes (tu m’as dit que <60s = pas pris en compte).
- Calcul sur les 30 derniers jours (dans la limite des 35 dernières vidéos qu’on a dans le JSON).
- RPM estimé : 0.76€/1k vues (range 0.53–0.99) basé sur ER + save rate + durée moyenne.
- Résultat: 868€ sur 30j (range 608€–1 129€), pour 1.14M vues éligibles et 9 vidéos ≥60s.
- Emoji + note /10 = performance globale de la vidéo (views + ER + saves).
- ER = (Likes + Commentaires + Partages) / Vues • Save rate = Sauvegardes / Vues.
- Badges “Au-dessus / En dessous” = comparaison directe à la moyenne de TON compte.
Importe ta vidéo, et Vexub génère une vidéo sous-titrée prête pour TikTok, Reels ou Shorts. Pas de montage, pas de prise de tête.
- Reconnaissance vocale IA → texte propre
- Sous-titres syncro automatiquement sur la vidéo
- Format vertical optimisé pour les vues