Simu hii ni nyembamba sana ina unene wa takribani milimita 4.9 na inatumia Teknolojia ya Muunganiko wa Kivifaa kwa Sumaku, inayoruhusu vifaa kuunganishwa nyuma kwa kutumia sumaku na pini maalum za umeme, hivyo kuwezesha kuongezwa kwa kamera ya zoom, betri ya ziada, spika, kipaza sauti, vidhibiti vya michezo na vifaa vingine vya mawasiliano. Badala ya kuweka kila kitu ndani ya simu, TECNO wamebuni mfumo ambao unaruhusu watumiaji kuunganisha vifaa vya ziada pale tu vinapohitajika, na hivyo kuifanya ibadilike kuwa kamera yenye nguvu, kifaa cha michezo au simu yenye betri iliyoongezwa. Je, utanunua simu inayoongeza uwezo wake kwa kuunganishwa vifaa vya sumaku? CC @blax_store175_ @blax_phonestore #phone #tech #technology #blaxstore175 #tanzania
Blaxstore175_HQ
@blaxstore175_hqMobile Phone dealers used and new from DUBAI,UK,USA,JAPAN AND KOREA@mbeya city
🔗 https://www.instagram.com/blax_store175_?igsh=MWFpbmh1NmF1cnFhcA%3D%3D&utm_source=qr ↗🔎 Détails (profil + refresh) ouvrir
Changamoto kazini😂😂 Karibu kwa mahitaji ya simu na vifaa vyake #phone #phone #funny #trend #blaxstore175
Apple wamepanua lineup yao kwa kuzindua vifaa 5 vipya, na kuna uvumi wa kifaa kingine cha ziada. Vifaa vilivyotangazwa: • iPhone 17e - Bei ya $599, ina chip A19 na MagSafe. • iPad Air - Ina memory iliyoongezeka kwa 50%. • MacBook Air - Storage ya mwanzo imeongezwa mara mbili. • MacBook Pro - Ina nguvu zaidi pamoja na Thunderbolt 5. • Studio Display - Skrini mpya zenye ubora wa juu, hata stand inakuja bure. Kuna taarifa kuwa Apple wanaweza kutangaza: • MacBook Neo - Laptop ya $699 yenye A18 Pro, rangi za kuvutia, ikilenga wanafunzi. Kwa ujumla, hii inaonyesha Apple wanaongeza chaguo zaidi kwa bei tofauti.- kutoka entry level hadi vifaa vya kitaalamu.CC @blax_store175_ @blax_phonestore #phone #tech #technology #blaxstore175 #tanzania
Daaa ila mfanya kazii😂😂 Karibu kwa mahitaji ya simu na vifaa vyake CC @blax_store175_ @blax_phonestore #phone #funny #trend#blaxstore175 #tanzania
Baada ya watu wengi kufaidika na video settings, sasa ana-share photo settings zake za Samsung Galaxy Settings hizo pia zitakufaa, hata kama muonekano wa menu unaweza kutofautiana kidogo. Point kubwa ni hii: Ubora wa picha hauko tu kwenye simu, bali uko kwenye kujua settings gani ubadilishe na lini, kulingana na mwanga. uzijaribu, uzirekebishe kulingana na mazingira yako, na uzihifadhi kwa matumizi ya baadaye. CC @blax_phonestore @blax_store175_ #phone #tech#blaxstore175 #technology #tanzania
Turn 1 Long Video into 10 Viral Shorts
Upload one YouTube video and auto-generate multiple TikToks, Reels, and Shorts in minutes.
Tumekamilika kila idara 😂😂 location ni moja tuu tunapatikana MBEYA MAFIATI MKABALA NA TUGHIMBE HOTEL CC @blax_store175_ @blax_phonestore #phone #funnny #videos #blaxstore175 #tanzania
Apple wameiweka iPhone 17e kama chaguo la bei nafuu lakini lenye nguvu karibu na flagship. Kwa $599 unapata: • Chip mpya A19 (Pc ya jüu) • 8GB RAM + 256 storage (hii ni kubwa kwa bei hiyo) • 48MP camera na 2x zoom • OLED display 6.1* • MagSafe + USB-C Kwa bei hiyo, ni deal nzuri kama: Unataka iPhone yenye nguvu kwa muda mrefu Unataka storage kubwa bila kulipa extra Hujali kukosa baadhi ya features za Pro (kama 120Hz au zoom kubwa zaidi) Lakini kama si hivyo ongezea pesa kidogo na kupata model ya Pro yenye refresh rate ya juu au camera bora zaidi, inaweza kuwa worth it kulingana na matumizi yako. Kwa $599, binafsi? Ni value nzuri sana kama entry ya iPhone 17 lineup. Wewe ungenunua kwa bei hiyo au ungeongeza pesa uende Pro? CC @blax_store175_ @blax_phonestore #phone #apple #blaxstore175 #tech #tanzania
Ila daaa au bas😂😂 Karibuni kwa mahitaji ya simu na vifaa vyake tunapatika MBEYA MAFIATI MKABALA NA TUGHIMBE HOTEL CC @blax_phonestore @blax_phonestore #Phone#funny #trend #blaxstore175 #tanzania
Apple hawaendi tena kwenye kuboresha simu tu, bali wanabadili mfumo mzima wa vifaa vyao (ecosystem). Wanapanga vifaa vya kuvaa mwilini kama saa viwe na uwezo zaidi, hata kupiga picha au kurekodi video. Pia wanafikiria njia mpya za kuchaji na kuunganisha iPhone ili iweze kufanya kazi kama kompyuta kubwa (workstation). Patent hazimaanishi bidhaa zitatoka mara moja, lakini zinaonyesha mwelekeo wa Apple: kuhamisha teknolojia kutoka kwenye “screen ya kushika mkononi” kwenda kwenye vifaa vinavyovaliwa na kufanya kompyuta iwe sehemu ya maisha yako, sio simu tu. CC @blax_phonestore @blax_store175_ #phone #tech #technology #blaxstore175 #tanzania
Turn 1 Long Video into 10 Viral Shorts
Upload one YouTube video and auto-generate multiple TikToks, Reels, and Shorts in minutes.
Manager anakabia juu😂😂. Karibu sana kwa mahitaji ya simu na vifaa vyake tunapatikana MBEYA MAFIATI MKABALA NA TUGHIMBE HOTEL CC @blax_phonestore @blax_store175_ #phone #tranding #funny #blaxstore175 #tanzania
Ushindani na Ushirikiano • Samsung mpinzani mkubwa wa Apple, pia ni mmoja wa washirika wake muhimu zaidi. OLED Panels • Samsung Display imekuwa msambazaji mkuu wa OLED kwa iPhone kwa miaka mingi. • Apple pia inapata paneli kutoka kwa watengenezaji wengine ili kupunguza hatari ya utegemezi mmoja. iPad Pro na OLED • Apple ilihamisha iPad Pro hadi kutumia OLED, na hivyo utegemezi kwa Samsung na LG umeongezeka. Faida ya Apple • Apple inaweza kudiversify supply chain, lakini uwezo wa kuunda paneli za kiwango cha juu bado ni faida adimu. Ushindani wa Viwanda • Katika teknolojia ya watumiaji, ushindani mkali mara nyingi unahusisha mashindano ndani ya viwanda sawa, sio tu sokoni. Je ulikuwa unajua ilo CC @blax_phonestore @blax_store175_ #tech #technology #blaxstore175 #phone
Anavitisho uyu nae😁😁 t Tunapatikana mafiati mkabala na tughimbe hotel CC @blax_store175_ @blax_phonestore #phone #trend #funny #blaxstore175 #tanzania
1. Apple Foldable iPhone • Apple inaweza kuzindua iPhone inayokunjika kwa mtindo wa “book-style” (kama kitabu), ambayo itakuwa juu ya simu zao za sasa za flagship. • Muda unaosambaa kwenye soko ni mwaka 2026. 2. Bei • Analyst wanakadiria bei ya $2,400, sawa na takribani TSh 6.1 milioni. • Bei hii inamaanisha ni iPhone ghali zaidi kuwahi kutolewa. • Paneli za skrini zinatarajiwa kutolewa na Samsung Display. 3. Ubunifu na Ujaribu wa Bei • Simu hii si tu ni jaribio la kubuni (design) bali pia ni jaribio la bei kwa Apple kuona jinsi wateja wanavyoweza kukubali simu ghali sana. 4. Teknolojia ya Kufungua Simu • Ina ripoti kuwa foldable hii inaweza kuacha Face ID na badala yake kutumia Touch ID kilicho upande wa simu. 5. Uwezekano wa Kutolewa • Kulingana na wafanyabiashara wa Polymarket, kuna uwezekano wa 83% kwamba iPhone inayokunjika itazinduliwa kabla ya mwaka 2027. CC @blax_store175_ @blax_phonestore #tech #apple #blaxstore175 #technology #tanzania
Setting itayokuwezesha kucheza game wakati umechomeka sim chaji bila kuharibu afya ya battery la sim #technology #tecnologia #smartphone #samsung
Ana michezo huyu😂 C C @blax_store175_ & @blax_phonestore Tupo mkabala na Tughimbe hotel mafiati-Mbeya #blaxstore175 #tanzania #funnyvideos #tredingreels #phone
- Je compte uniquement les vidéos ≥ 60 secondes (tu m’as dit que <60s = pas pris en compte).
- Calcul sur les 30 derniers jours (dans la limite des 35 dernières vidéos qu’on a dans le JSON).
- RPM estimé : 0.76€/1k vues (range 0.53–0.99) basé sur ER + save rate + durée moyenne.
- Résultat: 34€ sur 30j (range 24€–44€), pour 44.26K vues éligibles et 2 vidéos ≥60s.
- Emoji + note /10 = performance globale de la vidéo (views + ER + saves).
- ER = (Likes + Commentaires + Partages) / Vues • Save rate = Sauvegardes / Vues.
- Badges “Au-dessus / En dessous” = comparaison directe à la moyenne de TON compte.
Clipping is the fastest way to repurpose content: one long video becomes multiple short viral formats. Example: 1 YouTube video -> 10 Shorts/TikToks.
- 1 long video -> multiple Shorts/TikToks
- Auto subtitles synced to every clip
- Vertical exports optimized for watch time