Tusikubali kwenda kubariki najisi hii wanaita uchaguzi kama hawatabadirika. Chuki dhidi ya CCM inapanda kila siku mbele ya umma #kataawahuni #tiktoklive #livehighlights
Humphrey Polepole
@hpolepoleMtanzania, MwanaCCM na Nakwenda Mbinguni!
🔎 Détails (profil + refresh) ouvrir
Mungu akipenda nikiwa nimetulia tarehe 30 Septemba 2025 siku ya Jumanne, saa 10 kamili Jioni wakati wa Mikutano ya hadhara (ili kumkwepa mkata swichi) nitasema nanyi kwa habari ya mambo yafuatayo:- 1. Historia ya Ahadi hewa ya kutoa hela za kuwezesha wananchi kiuchumi na hasa vijana. Nitaonesha Mabilioni ya JK na namna yalivyohondomolewa na wajanja wachache, maelekezo ya Serikali ya Awamu ya 5 kwa Waziri Mkuu Majaliwa na ambayo hayajawahi kufanyiwa kazi katika awamu iliyofuata. Huu ni usuli wa maelezo yangu juu ya ahadi ya Bilioni 200 ndani ya siku 100. 2. Suala la Bima ya Afya kwa wote ni hadaa kama halijafanyiwa kazi ya kutosha ambayo siioni dhamira njema ya kufikia hili - nitafafanua zaidi na kuonesha mifano. Sio vizuri kudanganya wananchi (CCM tusikubali kuchonganishwa na wananchi) 3. Nitawaleza kuhusu namna ziko hoja za msingi ambazo kwenye mikutano ya hadhara wala hawajisumbui kusema. Tuko Mapinduzi ya 4 ya viwanda ambayo yanahusisha watu na tehama (fusion between bio and digital) wakati hapa Tanzania mabando ya internet gharama ni juu kuliko Nchi nyingi za Afrika kwa uzembe tu, kama hawajafanya sasa tuwahoji kwanini? Hakuna uchaguzi bila muafaka wa Kitaifa #kataawahuni
Majibu yangu kwa jamaa yangu wa Idarani na nitumie fursa hii kuwajibu wote wenye mashaka mashaka juu ya dhamira yetu ya kuikomboa hatima ya nchi yetu ambayo iko kwenye giza nene muda huu, bado muda kidogo na kama Mungu aishivyo haki itatamalaki katika nchi yetu, niwatie moyo siku hiyo inakuja upesi na haitakawia! NB (Na bado): Mfikishie mtu yeyote kwenye vyombo vyetu vya ulinzi unayemjua, hakikisha umemsabahi kwanza #kataawahuni
Mungu akipenda leo tarehe 25 Septemba 2025 tutakuwa hewani, mjulishe na mwingine anayeipenda Tanzania. Leo natoa mwaliko kwa Mhe. Rais Mama Samia baada ya mikutano ya hadhara ashiriki nasi kufuatilia, sasa Mkata swichi jipendekeze otherwise. Leo ni mambo mchanganyiko, wikendi ni suala mahususi. Muwe tayari tayari lakini iwe isiwe saa 3:00 usiku tutakuwa hewani, weka vitendea kazi tayari! Bila muafaka wa Kitaifa kwanza hakuna Uchaguzi, hakuna kupiga kura! #kataawahuni NB (Na bado): Jeshi la Polisi kuna ka segment kenu pia msikose
Ukiona ukiwasikiliza ndani ya moyo wako hawakupi amani ya moyo, ukiona wanatumia nguvu kubwa kukushawishi hata kwa mambo ya kawaida na bado unahisi na kuona kutokuwaamini, ukiona wakitajwa unahofia usalama wako, ukiona hauwezi kuongea kwa uwazi, uko sahihi.. Mtu huyo, ambaye nyuma yake kuna genge la mtandao, halindi, haheshimu, hathamini, hahangaiki wala hahangaishwi na utu wako kubagazwa, kubanangwa, kutindinganywa na kutokuheshimiwa! Mimi sitatoa uhalali kwa mtu wa aina hiyo kuwa kiongozi kwenye nchi yetu, sitaonekana kwenye kituo chochote cha kupigia kura! Siri - Saiz kinachowanyima amani yao na usingizi ni sisi kuwaachia na kuwasusia wanachoita uchaguzi wao, mimi naita kiini macho, wako bize kufanya mikutano ya hadhara na husikii masuala yanayobananga nchi yetu yakiwekewa mikakati ikiwemo Haki za watu, Usalama wa Raia, Vita dhidi ya Rushwa, Ufisadi na wizi uliokithiri wa rasilimali na madini yetu (utajiri wa nchi hii tuliopewa na Mungu wetu). Mjuze siri hii na mwingine! #kataawahuni
#onthisday
Mungu akipenda nitazungumza tena siku ya Jumapili, tarehe 14 Septemba 2025, ili kukabiliana na Mkataswichi kuna uwezekano mkubwa nikapanda hewani mchana ili nipitamo na mikutano ya hadhara (sio kampeni). Anayesema maridhiano ni mwaka kesho anatudharau, tusikubali. #kataawahuni
Hata kama wale tunaowategemea kukemea haram inayoendelea wamekaa kimya, wala msikate tamaa, wala msitahayari, msiogope wala msifadhaike, jambo moja nalijua hakika Mungu wetu wa Mbinguni anaipenda Tanzania, tuendelee kusimama imara kupinga uonevu, kupinga kupuuza wananchi, kupinga ubagazaji na ubanangaji wa misingi ya Kidemokrasia katika Nchi yetu. Kiongozi Mwanamapinduzi Mmarekani mwenye asili ya Afrika Martin Luther King Jr. alipata kusema “If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor." au kwa tafsiri yangu ya kiswahili "Katika mazingira ambapo haki ya mnyonge inabanangwa na kubagazwa na mwenye nguvu na wewe ukaamua kutokuchukua upande, kwamba uko katikati basi umechagua upande wa mbagazaji, mbanangaji na mwenye nguvu" Hasta la Victoria Siempre #kataawahuni
Vivaa Wachimbaji wadogo Vivaaa 💪🏽💪🏽💪🏽 #kataawahuni
Texte → vidéo TikTok IA
Tu écris le prompt, on génère la vidéo.
Tujenge uelewa wa pamoja na muafaka wa Kitaifa kabla ya kwenda kwenye uchaguzi huu #tiktoklive #livehighlights #kataawahun
Mambo ya kukumbuka!
Rai yangu kwa Viongozi na Watendaji wa Vyombo vya Usalama Nchini
Sans description
kuhusu suala la gharama za gesi ya kupikia nchini sisi tunapigwa, tuna gesi asili tangu tuipate tujiulize watanzania wamenufaika kiasi gani.? anatokea mtu mmoja anataka kutugeuza kwa lazima sisi kuwa wateja wake, mimi na familia yangu tumekataa kunufaisha mwana mtandao. #kataawahuni
Sous-titres IA en 1 clic
Vidéo importée → version prête à poster.
Hela za korona 1.3 Trilioni zilifanya Fedha za bajeti Trilioni 4 zifanyiwe matumizi ndivyosivyo #tiktoklive #livehighlights
- Je compte uniquement les vidéos ≥ 60 secondes (tu m’as dit que <60s = pas pris en compte).
- Calcul sur les 30 derniers jours (dans la limite des 35 dernières vidéos qu’on a dans le JSON).
- RPM estimé : 0.63€/1k vues (range 0.44–0.82) basé sur ER + save rate + durée moyenne.
- Résultat: 0€ sur 30j (range 0€–0€), pour 0 vues éligibles et 0 vidéos ≥60s.
- Emoji + note /10 = performance globale de la vidéo (views + ER + saves).
- ER = (Likes + Commentaires + Partages) / Vues • Save rate = Sauvegardes / Vues.
- Badges “Au-dessus / En dessous” = comparaison directe à la moyenne de TON compte.
Importe ta vidéo, et Vexub génère une vidéo sous-titrée prête pour TikTok, Reels ou Shorts. Pas de montage, pas de prise de tête.
- Reconnaissance vocale IA → texte propre
- Sous-titres syncro automatiquement sur la vidéo
- Format vertical optimisé pour les vues