Wangapi wanaupenda wimbo huu lakini maneno Yana wapiga chenga ?? Mtumishi wa MUNGU @geofrey_maunde Na mtangazaji wetu @zamoyonialex_official wameshirikiana kwneye wimbo huu wamepatia au watuache kwanza ? Weka kwneye comment twende sawa #tanzaniantiktok🇹🇿 #tikitokkenya🇰🇪 #viraltiktok #goviral #gospel
Roc Tv
@roc_tvRoc TV Official TikTok,kwa sasa tunapatikana Azam eneo la other channels namba 11
🔗 roctv.co.tz ↗🔎 Détails (profil + refresh) ouvrir
Anasema ukienda kwenye date ya kwanza na mwanamke anaye jielewa hawezi kuagiza chips mayai , hii unadhani inamfanya mtu onekane anajielewa ? Weka comment yako hapo chini twende sawa . @the_chosengirlie #tikitokkenya🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #trendingvideo #viraltiktok #goviral
Kama wewe ni kijana hakikisha umesikiliza video hii mpaka mwisho utatoka na kitu kikubwa kutoka Kwa Mtumishi WA Mungu @prophetjobisoshemndolwa akijibu swali la kijana mwenzetu Kwa ufasaha. @zamoyonialex_official @prophetjobiso @prophetjobisoshemndolwa @umacathedralministry #tanzaniantiktok🇹🇿 #tikitokkenya🇰🇪 #trendingvideo #viraltiktok #goviral
Texte → vidéo TikTok IA
Tu écris le prompt, on génère la vidéo.
Hivi unajua balaa la JASTIN ASIFIWE ? moja Kati ya kumbukumbu nzuri ya Ibada iliyofanyika kwenye kipindi cha SAUTI THERAPY Mwaka 2025 na Mtumishi wa Mungu @jastin_asifiwe ni hii pia . Unapenda nini kutoka Kwa Mtumishi wa Mungu JASTIN ASIFIWE ? weka comment yako hapo chini twende sawa @zamoyonialex_official @jastin_asifiwe #tanzaniantiktok🇹🇿 #tikitokkenya🇰🇪 #goviral #trendingvideo #viraltiktok
Zoravo kasema anauoenda Sana huu wimbo wa Mtumishi wa Mungu @joellwaga Tuambie eneo ambalo unapenda Sana kwenye wimbo huu ,weka comment yako hapo chini twende sawa @zoravo @joellwaga @@zamoyonialex_official #tikitokkenya🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #goviral #trendingvideo #viral
Tukiwa Tumebakiza siku chache Sana kumaliza Mwaka huu hebu mshukuru Mungu Kwa mambo mengi mema aliyo kutendea, chukua dakika chache kuungana na Mtumishi WA Mungu ZORAVO @zoravo kumwambia pokea sifa BWANA wa MA BWANA. alafu kwenye comment andika Nakushukuru Mungu wangu @zoravo @zamoyonialex_official #tikitokkenya🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #goviral #trendingvideo #gospel
Mungu hakupi jaribu ambalo huliwezi, Mtumishi WA Mungu @zoravo alitamani angekua anajua wimbo huu kutoka Kwa @ministermyagila tunamshukuru Mungu Mtangazaji alimsaidia kuufahamu. @ministermyagila Mungu akubariki Kwa wimbo mzuri Sana @zoravo @ministermyagila @zamoyonialex_official #tanzaniantiktok🇹🇿 #tikitokkenya🇰🇪 #goviral #trendingvideo #gospel
Sous-titres IA en 1 clic
Vidéo importée → version prête à poster.
Swali la Mtazamaji wa kipindi cha SAUTI THERAPY limejibiwa Kwa swali kutoka Kwa Mtumishi wa Mungu ZORAVO @zoravo tukinukuu yeye alitaka kujua namna ambavyo ZORAVO atavaa kama akiitwa IKULU . Fatilia Majibu mazuri kutoka Kwa Zoravo alaf tuachie comment yako hapo chini twende sawa @zoravo @zamoyonialex_official #tikitokkenya🇰🇪 #goviral #trendingvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #gospel
kama una ushuhuda basi imba pamoja na mtumishi wa MUNGU @minister_jonathankartagata #tikitokkenya🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #trendingvideo #goviral #gospel
kwamfano ukiona massages Kwenye cm ya mpenzi wako ametumiwa na mtu mwingine hua unafanyaje ?? tuambie kwenye comment hapo chini #trendingvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #tikitokkenya🇰🇪 #goviral #love
Mjue Sana MUNGU ili uwe na Amani ndipo Emma yatakapo kujia , tupo kwenye wakati ambao Amani yako itatokana na namna unavyo mjua Mungu . Tumia dakika zako 7 kusikiliza wimbo huu mzuri utakao kufariji........ @thehealingmissionaries_thm @julius_fanta @zamoyonialex_official #trendingvideo #tikitokkenya🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #goviral #gospel
Tunampa asilimia ngapi DAUSONI kwenye Verse ya wimbo huu ?? #tanzaniantiktok🇹🇿 #viralvideos #tikitokkenya🇰🇪 #trendingvideo #goviral
Tumia dakika zako 6 Tu kuabudu pamoja na Mtumishi WA Mungu @ministerprosperlenge . Alaf weeks comment yako hapo chini twende sawa @ministerprosperlenge @zamoyonialex_official #tikitokkenya🇰🇪 #viralvideos #tanzaniantiktok🇹🇿 #trendingvideo #greenscreen
"Kuna Lebo kubwa Sana hapa nchini iliwahi kunifata na wakataka kusimamia Kazi zangu lakini masharti ya mkataba nikwamba nisilitaje jina la YESU kwenye nyimbo zangu " Maneno ya Mtumishi WA Mungu @filbertsangule_ Una maomi gani juu ya hili lakukataa mkataba ? Weka maoni yako hapo chini twende sawa @zamoyonialex_official @filbertsangule_ #tanzaniantiktok🇹🇿 #tikitokkenya🇰🇪 #trendingvideo #viraltiktok #viralvideos
Wimbo wa mapenzi yako ulivyo fanyika Ibada kwenye kipindi cha SAUTI THERAPY ,chukua dakika zako 8 tu na wewe kusikiliza alafu mwambie Mungu kua ,yote ambayo yanatokea kuna mapenzi yako ambayo Yana timizwa Alaf weka comment yako hapo chini twende sawa . @filbertsangule_ @zamoyonialex_official #tikitokkenya🇰🇪 #trendingvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #viraltiktok #viralvideos
- Je compte uniquement les vidéos ≥ 60 secondes (tu m’as dit que <60s = pas pris en compte).
- Calcul sur les 30 derniers jours (dans la limite des 35 dernières vidéos qu’on a dans le JSON).
- RPM estimé : 1€/1k vues (range 0.7–1.3) basé sur ER + save rate + durée moyenne.
- Résultat: 444€ sur 30j (range 311€–577€), pour 443.91K vues éligibles et 5 vidéos ≥60s.
- Emoji + note /10 = performance globale de la vidéo (views + ER + saves).
- ER = (Likes + Commentaires + Partages) / Vues • Save rate = Sauvegardes / Vues.
- Badges “Au-dessus / En dessous” = comparaison directe à la moyenne de TON compte.
Importe ta vidéo, et Vexub génère une vidéo sous-titrée prête pour TikTok, Reels ou Shorts. Pas de montage, pas de prise de tête.
- Reconnaissance vocale IA → texte propre
- Sous-titres syncro automatiquement sur la vidéo
- Format vertical optimisé pour les vues